Uagizaji viatu kutoka nje kupigwa marufuku

  • | Citizen TV
    4,453 views

    Waziri wa Biashara Moses Kuria amesema kuwa serikali itapiga marufuku uingizaji wa viatu kutoka nje ya nchi kuanzia mwaka ujao