Maina Njenga anataka serikali kumhakikishia usalama

  • | Citizen TV
    1,215 views

    Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga anaitaka serikali kumhakikishia usalama wake baada ya kudai kutekwa nyara na watu wasiojulikana jumamosi usiku na kuachiliwa kwa njia yenye tata.