Watu 6 wa familia moja wameteketea hadi kufa

  • | Citizen TV
    1,465 views

    Watu sita wa familia moja wameteketea hadi kufa nyumbani kwao katika kijiji cha Tumoek eneobunge la Kipkelion West kaunti ya Kericho.