- 11,331 viewsDuration: 3:02Faith Kipyegon ameendeleza ubabe wake na kuipa Kenya dhahabu kwenye mbio za mita 1,500 baada ya kushinda ubingwa wake wa nne kwenye mashindano ya dunia mjini Tokyo, Japan. Kipyegon alimuongoza mkenya mwengine Dorcus Ewoi aliyemaliza wa pili na kufikisha medali za Kenya kuwa tano.