Wetangula ataka maripota wabunge wapewe mafunzo.

  • | KBC Video
    0 views

    Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula anataka kituo cha mafunzo cha bunge kubuni kozi maalum za kusaidia wanahabari wanaoangazia masuala ya bunge kuwa na uweleo mpana kuhusu yanayojiri bungeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News