Skip to main content
Skip to main content

HELB yawataka wanaodaiwa kulipa madeni yao

  • | Citizen TV
    311 views
    Duration: 3:07
    Serikali imewahakikishia wanafunzi kwamba ufadhili wa elimu ya juu utaendelea bila kukwama huku sasa bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikiwataka wanaodaiwa kulipa madeni yao. Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya HELB, Geoffrey Monari, akisema kuwa bodi hiyo imejiandaa tayari kugharamia mahitaji ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vile vya TVET kwenye muhula huu wa masomo.