Mrundiko wa pasipoti ambazo hazijachapishwa waisha

  • | Citizen TV
    4,857 views

    Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki amesema kuwa mrundiko wa pasipoti ambazo zilikuwa zinasubiri kuchapishwa umekwisha. Kindiki amewataka wakenya 87,574 waliotuma maombi ya pasipoti kufika katika idara ya uhamiaji kuzichukua.