Viongozi wa Azimio watishia kusitisha mazungumzo

  • | Citizen TV
    2,963 views

    Viongozi wa azimio wametishia kuchukua hatua iwapo mrengo wa Kenya Kwanza utafanyia mzaha mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea katika ukumbi wa Bomas. Kinara wa NARK-Kenya Martha Karua na katibu mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni wanasisitiza kuwa gharama ya maisha na mageuzi katika tume ya uchaguzi sharti zipewe kipaumbele