Kupigwa kalamu kwa kwa Ezra Chiloba kama mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya mawasiliano humu nchini

  • | KBC Video
    7 views

    Kupigwa kalamu kwa kwa Ezra Chiloba kama mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya mawasiliano humu nchini bado kunaghubikwa na sintofahamu na ati-ati huku uvumi ukitanda na kauli tofauti zikiibuka miongoni mwa wananchi. Hata hivyo, imebainika kuwa hatima ya Chiloba iliibuliwa tarehe 8 Agosti mwaka huu na kamati maalum ya bodi ya ukaguzi na uhakiki. Bodi hiyo hiyo katika ripoti yake, inasema Chiloba pamoja na maafisa wengine tisa walikiuka majukumu yao kikazi na kupendekeza wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa utovu wa nidhamu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive