Hofu ya athari za mvua ya El Nino yatandanda sehemu mbalimbali nchini

  • | TV 47
    50 views

    Hofu ya athari ya mvua ya El Nino nchini inazidi kutanda miongoni mwa wakenya ikidaiwa kuwa serikali huenda haijaweaka mikakati kabambe kupambana majanga yatokanayotokana na mvua hii inayotarajiwa maeneo mbali mbali nchini kuanzia mwezi ujao. Naibu Rais Rigathi Gachagua ametangaza kuwa serikali itafanya kikao cha maandalizi wiki kesho licha ya baadhi ya maeneo kushuhudia mvua.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __