Mtu mmoja afariki baada ya kunywa dawa ya kienyeji

  • | Citizen TV
    1,095 views

    Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 18 amefariki na mwengine kulazwa hospitalini huko Kericho baada ya kunywa dawa ya kienyeji waliyopewa na mganga.