Vituo vya mafuta upande wa Tanzania vimeishiwa

  • | Citizen TV
    4,260 views

    Vituo vya kuuza mafuta kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania vimeishiwa na mafuta kutokana na mahitaji zaidi kutoka kwa madereva na wahudumu wa bodaboda kutoka humu nchini. Aidha, wahudumu wa vituo vya kuuza mafuta upande wa Kenya mpakani wanazidi kulalamikia mapato ya chini, kutokana na hatua ya madereva kuelekea Tanzania kununua mafuta kwa bei nafuu