Shambulizi tena Lamu | Mwanamume wa miaka 50 ameuawa Lamu

  • | Citizen TV
    998 views

    Mtu mmoja ameuawa na nyumba saba kuteketezwa kaunti ya lamu baada ya watu wanaoripotiwa kuwa magaidi wa Al-Shabaab kuvamia kijiji cha Widhu. Shambulizi hilo lililotokea mwendo wa saa nane asubuhi lilisababisha kuuawa kwa mlinzi wa shule moja ya msingi.