Wafanyikazi wa makaburi ya Langata wagoma leo

  • | Citizen TV
    2,162 views

    Shughuli za mazishi katika makaburi ya Langata zilisitishwa hii leo baada ya wafanyikazi wanaohudumu katika maziara hayo kugoma. Wahudumu hao wamelalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao, wakidai kutolipwa kwa mwezi wa tano. Kizaazaa kilishuhudiwa katika eneo hilo, wafanyakazi hawa wakikabiliana na maafisa wa usalama