Masaibu ya Owino baada ya kutemwa nje ya timu baada ya kupata jeraha

  • | Citizen TV
    561 views

    Ni ndoto ya kila mchezaji kuvaa sare ya timu yake ya taifa kama ilivyokuwa kwa Janet Owino aliyewakilisha timu ya taifa ya mchezo wa raga kwa miaka kadhaa kabla ya kujeruhiwa. Kwa sababu ya jereha hilo Awino hajaweza kurejea uwanjani.