Kenya kushirikiana na kampuni ya CCM ya Marekani kwa mpango wa magari ya usafiri wa umma

  • | Citizen TV
    1,554 views

    Kenya imetia saini mkataba wa shilingi bilioni 8.7 na kampuni ya marekani ya Millennium Change Corporation kufadhili mpango wa magari ya usafiri wa umma yanayotumia umeme.