Tanzania: Mratibu wa Kitaifa wa haki za binadamu aeleza hatari za kupoteza umoja wa kitaifa

  • | VOA Swahili
    71 views
    Onesmo Olengurumwa ambaye ni Mratibu wa Kitaifa wa Muungano wa watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania akiwa jijini New York, Marekani, kushiriki katika kuangazia muelekeo wa Haki za Binadamu kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia. Ungana naye kupata maelezo kamili ... Olengurumwa alizungumza na mwandishi wa Sauti ya Amerika, Idd Ligongo ambaye yuko New York kufuatilia mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambao umeanza tarehe Septemba 19, 2023. #viongozi #mkutano #lengo #maendeleoendelevu #UN #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.