Vitambulisho vya kidijitali

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali imezima uvumi kwamba deta za kibinafsi za Wakenya zitadukuliwa kufuatia uzinduzi wa kitambulisho kipya cha kidijitali al-maaruf Maisha Card. Makundi ya kijamii yameibua wasiwasi kuhusu usalama wa kadi hiyo mpya ya kidijitali yakisema hakukuwa uhamasisho wa kutosha kabla ya uzinduzi wake. Hata hivyo, katibu katika ya uhamiaji na usajili wa Wakenya, Julius Bitok amedumisha kwamba kadi hiyo mpya ya utambuzi sio la lazima lakini inanuiwa kuimarisha ushirikishwaji na uwazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive