Bodi ya kudhibiti dawa na sumu imeagiza kurejeshwa kwa dawa aina ya Tamedol

  • | KBC Video
    13 views

    Bodi ya kudhibiti dawa na sumu imeagiza kurejeshwa kwa dawa aina ya Tamedol inayotengezwa na kampuni ya Biopharma humu nchini kutokana na malalamiko kadhaa kuhusu ubora wake. Vituo vya afya pamoja na maduka ya kuuza dawa vimeagizwa kusitisha uuzaji wa dawa hiyo huku wananchi wakitakiwa kurejesha dawa waliyokuwa wamenunua katika taasisi ya afya iliyo karibu nao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive