Shambulio Lamu katika kijiji cha Witho na washukiwa wa kundi la wanamgambo la Al-Shabab.

  • | KBC Video
    20 views

    Hofu imetanda katika kijiji cha Witho kaunti Lamu kufuatia shambulio la asubuhi ambapo mtu mmoja aliuawa na nyumba kadhaa kuteketezwa na washukiwa wa kundi la wanamgambo la Al-Shabab. Shambulio hilo lilizua maandamano huku wakazi wenye hasira wakifunga barabara kuu ya Witu-Mokowe na kuwasha mioto mikubwa kushinikiza polisi wachukue hatua kukomesha mashambulizi ya mara kwa mara katika kauntihiyo. Waziri wa usalama wa taifa Profesa Kithure Kindiki amesema serikali imepeleka kikosi maalum cha maafisa wa polisi kuimarisha usalama na kuwasaka wanamgambo hao. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive