Gavana Ochillo Ayacko awaonya mawaziri wake kwa kutowawajibikia wananchi kwa maendeleo

  • | Citizen TV
    176 views

    Gavana wa kaunti ya Migori Ochillo Ayacko amewaonya mawaziri wake ambao wametajwa kuzembea kazini, hali ambayo imesababisha miradi kukwana na wananchi kukosa huduma muhimu. kwenye hafla ya kutia saini mkataba wa utendakazi wa mawaziri, Ayacko amesema kuwa ni sharti mawaziri wafanye juhudi za kuhakikish ahadi alizotoa kwenye manifesto yake wakati wa kampeni za uchaguzi zimetimizwa.