- 339 viewsWakati Kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikiendelea New York, makao makuu ya UN, maandamano kupinga serikali ya Iran kwa kile kinacho elezwa kuwa ni uvunjifu wa haki za binadamu yanaendelea. Iran imekuwa ikikosolewa kutoka ndani na nje ya nchi kwa madai ya mauaji ya raia wake ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa serikali. Endelea kuangalia shinikizo hili... #maandamano #serikali #iran #hakizabinadamu #mauaji #raia #voa #voaswahili #un #barazakuu #umojawamataifa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
UNGA: Watu wajitokeza New York kuandamana kupinga serikali ya Iran wakiituhumu kwa mauaji
- 9 May 2025 - The Ministry of Education has dismissed appointments made by the University of Nairobi Council, terming the process as unlawful.
- » Blow to 4 suspects in murder of Kasipul MP Charles Were as court dismisses jurisdiction application9 May 2025 - The JKIA Law Courts has dismissed an application filed by four suspects seeking to challenge the court’s jurisdiction in a case connected to the murder of Kasipul Member of Parliament Charles Were.
- 9 May 2025 - Confusion abounded after conflicting reports regarding the operational status of the Music Copyright Society of Kenya (MCSK) CEO Ezekiel Mutua were released to the public.
- 9 May 2025 - Church bells echoed out as Catholics congregated in the Peruvian capital on Thursday to celebrate the election of American-born Pope Leo XIV, who left his mark after years of service in the Andean country.
- 9 May 2025 - Kenya and the United Arab Emirates (UAE) have signed seven agreements aimed at deepening bilateral cooperation between the two nations.
- 9 May 2025 - The KURA boss revealed plans to deploy traffic marshals at the site.
- 9 May 2025 - Extremely online new pope unafraid to talk politics
- 9 May 2025 - The nine family members who perished in a suspected arson attack in Ugunja, Siaya County will be laid to rest today (Friday).
- 9 May 2025 - The nine family members who perished in a suspected arson attack in Ugunja, Migori County will be laid to rest today (Friday).
- - Liveblog: Kasipul MP Charles Were's burial