Wahudumu wa bodaboda wanunua mafuta Uganda

  • | Citizen TV
    1,967 views

    Wahudumu wa bodaboda katika kaunti ya Busia wamelalamikia kupanda kwa bei ya mafuta hadi shilingi 215 kwa lita huku wakiapa kuwa wataendelea kununua mafuta katika nchi jirani ya Uganda ambako petroli inauzwa kwa shilingi 205 kwa lita.