Wezi wa mifugo kukabiliwa eneo la Baringo

  • | Citizen TV
    390 views

    Waziri wa Usalama Profesa Kithure Kindiki amesema kuwa eneo la silale kaunti ya Baringo linasalia kuwa eneo hatari hadi pale usalama eneo hilo utakapothibitiwa.