Kaunti ya Nakuru yajiandaa kwa El Nino

  • | Citizen TV
    77 views

    Kaunti ya Nakuru imeweka mikakati kujiandaa kwa mvua wa El Nino unaotarajiwa kuanza mwezi wa Oktoba.