17 Sep 2025 10:19 am | Citizen TV 227 views Duration: 1:05 Msako wa kushitukiza uliofanywa na kikosi cha mashirika mbalimbali kikiongozwa na NACADA kilinasa dawa za kulevya na pombe haramu karibu na shule ya msingi ya Awelo Siaya mjini.