- 266 viewsDuration: 7:13Miungano ya wafanyakazi Kisii, wataalamu , mawakili pamoja na viongozi wa makanisa wanafanya mkutano maalum mjini Kisii kujadili mustakabali wa eneo la Gusii. Hafla hiyo pia ikitumika kuwaonya wanasiasa wanaoeneza siasa za migawanyiko na fujo .