- 52 viewsDuration: 1:16Wakazi wa kaunti ya Garissa wanaoathirika na mafuriko ya mara kwa mara sasa watakuwa wanapokea ujumbe wa tahadhari mapema baada ya watalaamu wa utabiri wa hali ya hewa kushirikisha waakilishi wao wa jamii kwenye mafunzo ya kutoa jumbe hizo kwa wakati ufaao.