Skip to main content
Skip to main content

Walemavu wakabiliwa na changamoto za elimu, ajira na afya huko Mombasa

  • | Citizen TV
    124 views
    Duration: 1:59
    Jamii ya walemavu kaunti ya Mombasa imeitaka serikali kuendeleza kampeni ya kuwafanyia uchunguzi wa kiafya watoto walemavu ili kuwawezesha kusajiliwa na baraza la kitaifa la walemavu nchini .