- 133 viewsDuration: 2:04Serikali ya kaunti ya Taita Taveta imewatunuku wahudumu wa afya na vituo vya afya ambavyo vimetoa huduma bora katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.Gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime akisema kwa sasa wanashirikiana na wadau wengine katika sekta ya afya ili kuimarisha utoaji huduma za matibabu katika hospitali za umma.