- 0 viewsKila mwaka wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa likikutana New York, kuna matukio ya pembeni yanaadaliwa au kudhaminiwa na UN kukiwa na mikutano, mijadala na mihadhara juu ya maudhui mbalimbali yanayohusiana na kikao cha UNGA. Moja ya matukio yaliyofanyika pembeni ya kikao cha mwaka huu ilikuwa juu ya maudhui "#Achieving #GapZero Evidence- Driven Inclusive Governance in Africa,” iliyoangazia namna na kuongeza ushiriki wa kisiasa wa wanawake katika bara hilo. Tukio hilo lilishirikisha mazungumzo ya ngazi ya juu akiwemo Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, Ahunna Eziakonwa, naibu mkurugenzi wa utawala na kanda wa UNDP Afrika, Colleen Zamba, katibu wa Rais wa Malawi, Abdoulie Janneh, mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Mo Ibrahim na wengine. Endelea kusikiliza anachoeleza Katibu Mkuu Kiongozi, Wizara ya Elimu Kenya... #unga #marekani #un #umojawamataifa #mafanikio #usawa #voa #voaswahili #marekani #sarahruto #wizarayaelimu #kenya #moibrahim #voaunga #unga78 - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
UNGA 78: '...Unapotoa fursa bora kwa wanaume na wanawake nini kinatokea...' Sarah Ruto
- - Rai za utangamano ››
- - Walimu wakuu waonywa ››
- - Kina mama waenziwa ››
- 12 May 2025 - Former Deputy President Gachagua has alleged that President William Ruto vetoed the selection of Charles Nyachae as the next Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman.
- 12 May 2025 - In the small Peruvian town of Eten, the faithful flock every year to celebrate an apparent 17th century miracle featuring images of the child Jesus, a sacred phenomenon not yet recognized by the Vatican.
- 12 May 2025 - Detectives in Athi River have arrested three suspects linked to a number of robberies in the area.
- 12 May 2025 - The United States and China on Sunday said progress had been made after a weekend of talks aimed at de-escalating trade tensions sparked by President Donald Trump's aggressive tariff rollout.
- 12 May 2025 - Kenya National Union of Teachers (KNUT) Secretary General Collins Oyuu has called on the government to ensure that the capitation funds for schools are released on time.
- 12 May 2025 - The frontier between arch-foes India and Pakistan was peaceful and had the "first calm night in recent days", the Indian army said Monday, after a surprise weekend ceasefire.
- 12 May 2025 - The first white South Africans granted refugee status under a programme initiated by U.S. President Donald Trump boarded a plane to leave from the country's main international airport in Johannesburg on Sunday.
- 12 May 2025 - So far, nine individuals have expressed interest in the country's top seat.
- 12 May 2025 - When faith meets science: Religious leaders endorse cervical cancer jab
- 12 May 2025 - 'Flying Palace': Trump to accept lavish jet from Qataris as Air Force One