- 125 viewsSanaa iliyojengwa inayowakilisha Malengo ya Maendeleo Endelevu 17 inaonyeshwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakati kikao cha 78 cha Baraza Kuu kikiendelea huko New York. SDGs hizo zinatambulisha matatizo ya kimataifa na kuyapa malengo husika kama vile Hakuna Umaskini, Kutokomeza Njaa, Kupunguza Kutokuwepo Usawa, Hatua za Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa, na mengineyo. The SDG Summit was held on Sept. 18-19 during the high-level week. Mkutano huo wa SDGs umefanyika kuanzia Septemba 18-19 katika wiki ya vikao vya ngazi ya juu. #unga #voaunga #unga78 - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Je, unafahamu Malengo ya Maendeleo Endelevu 17 yanawakilisha matatizo gani?
- 16 Jul 2025 - The Malaba Law Court has sentenced to 30 years imprisonment a school watchman it found guilty of defiling a 12-year-old school girl in Teso North, Busia County.
- 16 Jul 2025 - Former deputy president Rigathi Gachagua has faced the ire of Kenyans after joining the thousands of heartbroken fans and leaders who shared their tributes to fallen comedian KK Mwenyewe - a young man who shot to fame by comically imitating the then-…
- 16 Jul 2025 - ICT Cabinet Secretary William Kabogo has said that the ministry will take action against parents or guardians who provide opportunities for their children to access pornographic material.
- 16 Jul 2025 - Koimburi was charged in absentia alongside Kanyenya-ini Ward MCA Grace Nduta Wairimu and five others
- 16 Jul 2025 - A woman has been sentenced to three years’ probation with mandatory psychiatric evaluation after a Kisumu court found that she was guilty of murdering her infant son who was 11 months old.
- 16 Jul 2025 - The changes are set to affect thousands of students across the country.
- 16 Jul 2025 - It was not revealed who bought the painting and it's not clear whether it will be put on display
- 16 Jul 2025 - Dozens of protesters have since been charged with terrorism.
- 16 Jul 2025 - This is a move to improve access government services.
- 16 Jul 2025 - No major dams completed, CS Muuga reveals