- 163 viewsKila mwaka wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa likikutana New York, kuna matukio ya pembeni yanaadaliwa au kudhaminiwa na UN kukiwa na mikutano, mijadala na mihadhara juu ya maudhui mbalimbali yanayohusiana na kikao cha UNGA. Sikiliza rai ya Katibu Mkuu Kiongozi wa Wizara ya Elimu Kenya Sarah Ruto kuhusu kutoa elimu bora kwa wanaume na wanawake, Moja ya matukio yaliyofanyika pembeni ya kikao cha mwaka huu ilikuwa juu ya maudhui #Achieving #GapZero Evidence- Driven Inclusive Governance in Africa,” iliyoangazia namna na kuongeza ushiriki wa kisiasa wa wanawake katika bara hilo. Tukio hilo lilishirikisha mazungumzo ya ngazi ya juu akiwemo Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, Ahunna Eziakonwa, naibu mkurugenzi wa utawala na kanda wa UNDP Afrika, Colleen Zamba, katibu wa Rais wa Malawi, Abdoulie Janneh, mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Mo Ibrahim na wengine. #unga #voaunga #unga78
'...Unapotoa fursa bora kwa wanaume na wanawake nini kinatokea...'
- 16 Jul 2025 - The Malaba Law Court has sentenced to 30 years imprisonment a school watchman it found guilty of defiling a 12-year-old school girl in Teso North, Busia County.
- 16 Jul 2025 - Former deputy president Rigathi Gachagua has faced the ire of Kenyans after joining the thousands of heartbroken fans and leaders who shared their tributes to fallen comedian KK Mwenyewe - a young man who shot to fame by comically imitating the then-…
- 16 Jul 2025 - ICT Cabinet Secretary William Kabogo has said that the ministry will take action against parents or guardians who provide opportunities for their children to access pornographic material.
- 16 Jul 2025 - Koimburi was charged in absentia alongside Kanyenya-ini Ward MCA Grace Nduta Wairimu and five others
- 16 Jul 2025 - A woman has been sentenced to three years’ probation with mandatory psychiatric evaluation after a Kisumu court found that she was guilty of murdering her infant son who was 11 months old.
- 16 Jul 2025 - The changes are set to affect thousands of students across the country.
- 16 Jul 2025 - It was not revealed who bought the painting and it's not clear whether it will be put on display
- 16 Jul 2025 - Dozens of protesters have since been charged with terrorism.
- 16 Jul 2025 - This is a move to improve access government services.
- 16 Jul 2025 - No major dams completed, CS Muuga reveals