- 403 viewsSeneta wa Chama cha Demokratik katika jimbo la New Jersey Bob Menendez anakabiliwa na msururu wa mashtaka ya serikali kuu kuhusiana na ulaji rushwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kuhusu kashfa #hiyo inayohusisha kuinufaisha serikali Misri na kuwanufaisha washirika wake na kusaidia kutatua mashtaka mahakamani yanayo wakabili washirika wa mke wake. Endelea kusikiliza... #seneta #chama #demokratik #jimbo #newjersey #bobmenendez #voaswahili #dunianileo #misri #washirika #rushwa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Seneta Menendez akabiliwa na msururu wa mashtaka ya ulaji rushwa, yahusisha kuinufaisha Misri
- 19 Jul 2025 - Democracy for the Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua has accused Deputy President Kithure Kindiki, of orchestrating the chaos witnessed during last month's anti-government protests.
- 19 Jul 2025 - Politicians inciting Kenyans to violence and planting seeds of hatred and discord ahead of the 2027 General Election must be called out, Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has said.
- - Activist Boniface Mwangi arrested at his home in Machakos
- 19 Jul 2025 - Revised salary structure for teachers across the country to take effect on July 1, 2025.
- 19 Jul 2025 - The former Meru County Governor Kawira Mwangaza has launched Umoja Na Maendeleo Party to champion women, inclusivity.
- 19 Jul 2025 - Politician and renowned lawyer Mugambi Imanyara has attributed Kawira Mwangaza’s political predicaments and subsequent ouster as Meru governor to her independent candidate status. Speaking during the unveiling of the former governor’s new political…
- 19 Jul 2025 - Kenya’s Emmanuel Wanyonyi lit up the London Diamond League on Saturday, July 19, 2025, by storming to a commanding victory in the men’s 800m final with a meeting record of 1:42.00. Wanyonyi, 20, left no doubt about his elite status on the global stage,…
- 19 Jul 2025 - We sleep for a third of our lives.
- 19 Jul 2025 - "We must stop violence, tribalism and chaos for the country to move forward"
- 19 Jul 2025 - His wife Njeri said he was picked from their house in Machakos.