Mbunge wa Chama cha Republikan athibitisha kuwa Spika McCarthy yuko katika wakati mgumu

  • | VOA Swahili
    726 views
    Kundi la Warepublikan wanaodhibiti chama katika Baraza la Wawakilishi wanataka makato makubwa sana ya matumizi ya ndani pamoja na msaada wa Marekani kwa Ukraine katika vita vinavyo endelea dhidi ya uvamizi wa Russia. Lakini kipo kitu ambacho hakipendwi na watu wamrengo wa kulia katika Baraza la Wawakilishi na kinafanya Kevin McCarthy awe katika wakati mgumu. Sikiliza maelezo ya Mbunge ambaye anasimama upande wake. Endelea kusikiliza... #serikali #marekani #bunge #makubaliano #warepublikan #wademokrat #chama #mchakato #mazungumzo #muwafaka #spika #barazalawawakilishi #serikalikufungwa