17 Sep 2025 1:13 pm | Citizen TV 4,487 views Duration: 57s Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Fredrick Ochieng’ Andago, amefariki. Kifo chake kimegubika huzuni kubwa katika Idara ya Mahakama, ambapo alikuwa akihudumu katika Mahakama ya rufaa. Jaji Ochieng’ anakumbukwa kama kiongozi