Bima ya afya ya kijamii kuwarundikia mzigo wakenya wanaokabiliwa na tatizo la gharama ya juu maisha

  • | KBC Video
    11 views

    Watetezi wa haki za kibinadamu wamesema watawashinikiza wakenya kuandamana barabarani iwapo bunge litapitisha muswada wa bima ya afya ya jamii wa mwaka 2023. Watetezi hao wanadai kuwa kupitishwa kwa muswada huo ambao upo katika awamu yake ya pili ya kujadiliwa bungeni, kutawarundikia mzigo wakenya wengi wanaokabiliwa na tatizo la gharama ya juu ya maisha pamoja na ulipaji ushuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive