Wanafunzi wapinga mfumo mpya wa kufadhili masomo vyuoni.

  • | KBC Video
    12 views

    Vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu vimepinga mfumo mpya wa kufadhili masomo vyuoni wakisema hawakushauriwa ama kuhusishwa katika mashauriano. Vyama hivyo vya wanafunzi vinadai kuwa mfumo huo utawafungia nje wanafunzi wanaostahili kupata ufadhili wa serikali na kuitaka wizara ya elimu kusitisha mfumo huo. Hayo yalijiri, waziri wa elimu akikanusha taarifa za kucheleweshwa kwa fedha za kufadhili masomo vyuoni huku vyuo vikuu vikiendelea kusajili wanafunzi wa mwaka wa kwanza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive