Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wasifia ongezeko la chakula katika mashamba yao Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    380 views
    Duration: 2:36
    Kufuatia vita vilivyofaulu dhidi ya pembejeo ghushi, serikali sasa inasema asilimia kubwa ya wakulima wanatarajia mavuno ya kutosha. Hatua hii imewapa wakulima motisha wa kuendeleza kilimo kwa ari mpya huku ikilenga kuimarisha usalama wa chakula nchini. Ni hatua inayotajwa kuwa ushindi Kwa wakulima na taifa kwa jumla.