Lugha ya ishara kujumuishwa katika mtaala wa shule.

  • | KBC Video
    23 views

    Chama cha watu walio na matatizo ya kusikia kimetetea mswada wa lugha ya ishara unaonuiwa kuhakikisha utambuzi na uendelezaji matumizi ya lugha ya ishara humu nchini. Chama hicho kimetoa wito kwa bunge la Kitaifa pamoja na mabunge ya kaunti kupitisha mswada huo kwa upesi kwani utawezesha lugha ya ishara kujumuishwa katika mtaala wa shule.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive