17 Sep 2025 1:44 pm | Citizen TV 707 views Duration: 1:43 Msako wa kushitukiza uliofanywa na kikosi cha mashirika mbalimbali kikiongozwa na NACADA kilinasa dawa za kulevya na pombe haramu karibu na shule ya msingi ya Awelo Siaya mjini.