17 Sep 2025 1:28 pm | Citizen TV 109 views Duration: 2:11 Jumla ya shule sitini za msingi na upili kutoka kaunti ya Vihiga zimenufaika na vitabu vya kusoma kutoka kwa usimamizi wa shule ya Mudasa.