17 Sep 2025 1:29 pm | Citizen TV 4,385 views Duration: 45s Mfanyabiashara Chris Obure amefikishwa mahakamani tena leo kwenye kikao cha kutajwa kwa kesi inayomkabili ya madai ya ulaghai.