17 Sep 2025 1:31 pm | Citizen TV 76 views Duration: 2:11 Utekelezaji wa mpango wa miradi endelevu SDGs bado ni changamoto kwa taifa huku ikiarifiwa kuwa wanawake bado hawajawakilishwa ipasavyo katika nafasi za uongozi, licha ya mchango wao mkubwa katika jamii.