17 Sep 2025 1:35 pm | Citizen TV 140 views Duration: 3:25 Chuo Kikuu cha Turkana kimepokea wanafunzi wengi zaidi mwaka huu na kudhihirisha umaarufu zaidi wa chuo hicho. Lakini kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi sasa kumeleta changamoto nyingine, ukosefu wa vyumba vya kulala.