Afisa mkuu TSC Nancy Macharia kuangazia kuhusu uhaba wa walimu katika kaunti ya Turkana

  • | KBC Video
    16 views

    Kamati ya Seneti kuhusu elimu sasa inanuia kumuita afisa mkuu mtendaji wa tume ya TSC, Nancy Macharia kuangazia kuhusu uhaba wa walimu katika shule zenye wanafunzi walio na mahitaji maalum katika kaunti ya Turkana. Kwenye ziara yake, kamati hiyo iligundua kwamba shule kadhaa maalum katika kaunti hiyo hazina raslimali za kutosha na kutaka hatua za haraka zichukuliwe kushughulikia hali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News