- 284 viewsKatika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa uliomalizika hivi karibuni Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa alisema uchumi wa nchi yake ulikuwa unakua kwa haraka sana huko Kusini mwa Afrika. Ungana na mwandishi wetu akiripoti picha halisi ya hali ya wananchi wa Zimbabwe jinsi maisha yalivyoendelea kuwa magumu. Endelea kusikiliza... #mkutano #baraza #umojawamataifa #rais #zimbabwe #emmersonmnangagwa #uchumi #kusini #afrika #uchumi #wananchi #hali #maisha #voa #voaswahili #ajira - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Je, kuna uthibitisho wowote kuwa uchumi wa Zimbabwe umekuwa unakua kwa haraka sana?
- 12 May 2025 - In the small Peruvian town of Eten, the faithful flock every year to celebrate an apparent 17th century miracle featuring images of the child Jesus, a sacred phenomenon not yet recognized by the Vatican.
- 12 May 2025 - Detectives in Athi River have arrested three suspects linked to a number of robberies in the area.
- 12 May 2025 - The United States and China on Sunday said progress had been made after a weekend of talks aimed at de-escalating trade tensions sparked by President Donald Trump's aggressive tariff rollout.
- 12 May 2025 - Kenya National Union of Teachers (KNUT) Secretary General Collins Oyuu has called on the government to ensure that the capitation funds for schools are released on time.
- 12 May 2025 - The frontier between arch-foes India and Pakistan was peaceful and had the "first calm night in recent days", the Indian army said Monday, after a surprise weekend ceasefire.
- 12 May 2025 - The first white South Africans granted refugee status under a programme initiated by U.S. President Donald Trump boarded a plane to leave from the country's main international airport in Johannesburg on Sunday.
- 12 May 2025 - They are to appear before the DCI at 11am.
- 12 May 2025 - The National Assembly is inviting the public to submit sworn written statements (affidavits) on the suitability of nominees for Chairperson and Members of the Electoral and Boundaries Commission (IEBC). The deadline is set for Wednesday, 21st May, 2025…
- 12 May 2025 - Four counties—Nairobi, Kakamega, Narok and Bungoma—had the highest reported cases of teenage pregnancies in 2024, according to a recent report. Out of the 241,228 teenage pregnancies reported countrywide last year, Nairobi had the highest (six per cent…
- 12 May 2025 - Former Senate Majority Leader Samuel Poghisio has raised concerns over the integrity of the judicial process surrounding the impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. Speaking on a local TV show on Monday, May 12, 2025, Poghisio suggested…