- 43 viewsKuanzia tarehe 1 Oktoba, VOA kwa kushirikiana na Azam TV, Tanzania na Citizen TV, Kenya wanakuletea Jarida la Wikiendi kipindi kipya chenye uchambuzi, makala maalum, teknologjia na mengine mengi. Pia tunapatikana kupitia televisheni zingine washirika kote AFrika Mashariki na Kati. Usikose… #azamtv #tanzania #citizentv #kenya #jaridalawikiendi #kipindikipya #uchambuzi #makalamaalum #afrikamashariki #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
VOA kwa kushirikiana na Azam TV, Tanzania na Citizen TV, Kenya wanakuletea Jarida la Wikiendi
- - Rai za utangamano ››
- - Walimu wakuu waonywa ››
- - Kina mama waenziwa ››
- 12 May 2025 - Former Deputy President Gachagua has alleged that President William Ruto vetoed the selection of Charles Nyachae as the next Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman.
- 12 May 2025 - In the small Peruvian town of Eten, the faithful flock every year to celebrate an apparent 17th century miracle featuring images of the child Jesus, a sacred phenomenon not yet recognized by the Vatican.
- 12 May 2025 - Detectives in Athi River have arrested three suspects linked to a number of robberies in the area.
- 12 May 2025 - The United States and China on Sunday said progress had been made after a weekend of talks aimed at de-escalating trade tensions sparked by President Donald Trump's aggressive tariff rollout.
- 12 May 2025 - Kenya National Union of Teachers (KNUT) Secretary General Collins Oyuu has called on the government to ensure that the capitation funds for schools are released on time.
- 12 May 2025 - The frontier between arch-foes India and Pakistan was peaceful and had the "first calm night in recent days", the Indian army said Monday, after a surprise weekend ceasefire.
- 12 May 2025 - The first white South Africans granted refugee status under a programme initiated by U.S. President Donald Trump boarded a plane to leave from the country's main international airport in Johannesburg on Sunday.
- 12 May 2025 - So far, nine individuals have expressed interest in the country's top seat.
- 12 May 2025 - When faith meets science: Religious leaders endorse cervical cancer jab
- 12 May 2025 - 'Flying Palace': Trump to accept lavish jet from Qataris as Air Force One