Rais Ruto ataka vyama vya Kenya Kwanza kujinga na UDA

  • | Citizen TV
    2,679 views

    Baraza la usimamizi wa chama cha UDA hii leo limeandaa kongamano ambalo limeaidhinisha maandalizi ya uchaguzi wa mashinani wa chama hicho.