Walalamishi watatu wawasilisha kesi mahakamani kupinga uteuzi wa kamati ya maridhiano ya kitaifa

  • | Citizen TV
    995 views

    Walalamishi watatu wamewasilisha kesi mahakamani ya kupinga mdahalo unaoendeshwa na kamati ya maridhiano ya kitaifa inayokusanya maoni ya umma katika ukumbi wa Bomas. Kulingana na Issa Elanyi chamao, Patrick Karani Ekirapa na Paul Ngweywo Kirui, kamati hiyo ilibuniwa bila ya kuzingatia taratibu za kisheria.